KUHUSU SISI

VUNJABEI MARKET Ni Mahali Pekee Unaweza Kununuwa Samaki na Dagaa (MBICHI &KAVU) Kutoka Tanzania kwa Bei za Jumla Jumla au RejaReja na Tukaweza Kukusafirishia au Ukasafirisha Mwenyewe Hadi Kwenye Eneo Lako. Tunapatikana Kibririzi, Mkoani Kigoma.